Kiwanda cha chai mponde 2022. Alisema Kiwannda cha Chai Mponde kinakwenda kuwa kiwanda cha ksiasa na kitakuwa na uwezo wa kuchakata tani 5,800 na baadaye uzalishaji utafika tani elfu 16,000. Oct 27, 2022 · Hatimaye Kiwanda cha Chai Mponde kilichofungwa kwa zaidi ya miaka 10 kimeanza rasmi kuchakata na kuzalisha majani mabichi ya chai. #tumewasikiatumewafikia #msemajimkuuwaserikali #maelezotv #kaziiendelee Aug 10, 2024 · Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa kushirikiana na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), pamoja na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), wameingia ubia wa kumiliki Kiwanda Cha Chai cha Mponde kwaajili ya kuongeza tija katika uzalishaji, huku wadau mbalimbali wakitakiwa kuchangamkia fursa ya uwekezaji katika zao la Chai. 8 Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu, akizungumza katika hafla ya utiaji saini makubaliano ya kumiliki kiwanda hicho iliyofanyika katika Ofisi ya PSSSF, Msajili wa Hazina iliyofanyika Agosti 9, 2024 Jijini Dodoma. Feb 16, 2023 · Profesa Joyce Ndalichako amesema Kiwanda cha Chai Mponde kinakwenda kuwa kiwanda cha kisasa ambapo kitaweza kuchakata zaidi ya tani 5,000 za chai. Oct 17, 2022 · Meneja wa Kiwanda cha Chai Mponde, Bi. “Kwa siku wakulima watauza kilo elfu 52,000, naamini kwamba kiwanda kitaenda kuinyanyua Halmashauri yetu ya Bumbuli na kuboresha maisha ya wananchi. Sane Kwilabya (kulia) akionyesha jinsi ya kuyatambua majani ya chai yenye ubora mbele ya Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji, Mhe. ” Alisema. Akizungumza na wadau wa Kiwanda hicho, Waziri Ndalichako alipotembelea kiwanda cha Chai Mponde kilichoko Bumbuli, Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga amesema Serikali imekusudia kunufaisha wakulima wa Aug 17, 2022 · Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Mhe. usruzmo zjdloz aamew iwoir qlyk mcwys bxuemdm gpdx uukn ugaj